Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Beki wa Liverpool amehukumiwa

1466 Screenshot 20180117 171623 660x400 TZW

Thu, 18 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Beki wa club ya Liverpool ya England ambaye msimu wa 2016/2017 alikuwa akiichezea Burnley kwa mkopo Jon Flanagan amehukumiwa leo baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga mpenzi wake.



Jon Flanagan amekutwa na hatia baada ya mahakama jijini Liverpool kujiridhisha na ushahidi, hivyo amehukumiwa saa 40 za kufanya kazi bila malipo na miezi 12 ya kufanya shughuli za kijamii.



Staa huyo mwenye umri wa miaka 25 alitenda kosa hilo kwa kumpiga Ms Wall ambaye ndio mpenzi wake December 22 wakiwa mtaa wa Duke jijini Liverpool.

Chanzo: millardayo.com