Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC Wasajili Kiungo Kutoka Zambia

AZAM FC 4?fit=1080%2C739&ssl=1 Azam FC Wasajili Kiungo Kutoka Zambia

Fri, 23 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Azam FC Wasajili Kiungo Kutoka Zambia July 22, 2021 by Global Publishers



Azam FC  leo Julai 22, 2021 wameingia mkataba wa miaka miwili na kiungo mkabaji wa kimataifa wa Zambia, Paul Katema, akitokea Red Arrows ya huko.

Katema ni miongoni mwa viungo bora nchini Zambia, anakuja Azam FC kuongeza nguvu kwenye eneo hilo kuelekea msimu ujao.

Huo ni usajili weowa tano kwa ajili ya msimu ujao, baada ya awali kuwasainisha nyota wengine wawili kutoka Zambia, Charles Zulu, Rodgers Kola, Kenneth Muguna (Kenya) na Edward Manyama (Tanzania).





 

Share this:TweetWhatsApp Related
Chanzo: globalpublishers.co.tz