Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aussems ataka utulivu na pasi nyingi Simba

49008 Pic+aussems

Wed, 27 Mar 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Kocha Simba, Patrick Aussems ameonyesha kuzidi kuhitaji soka la chini baada ya kuwapa zoezi la kupiga pasi wachezaji wake kwa umakini mkubwa.

Katika mazoezi waliyofanya kwenye Uwanja wa Boko Veterans, kocha huyo aliwapa zoezi hilo huku akilisimamia na msaidizi wake Denis Kitambi.

Umakini wa kufuatilia kila pasi inayopigwa na mchezaji wake ilikuwa kubwa mno huku mchezaji anapokosea alionekana kubadilika na kumrekebisha kwa haraka.

Hata hivyo baada ya kuwaelekeza zoezi hilo mara kwa mara, baadae walionekana kuelewa na kulifanya kwa ufasaha



Chanzo: mwananchi.co.tz