Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aubameyang katua Arsenal Giroud kaondoka nae

2369 Screen Shot 2018 01 31 At 9.04.04 PM 660x400.png

Thu, 1 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Saa kadhaa wa baada ya club ya Arsenal kuthibitisha kumsajili staa wa soka wa kimataifa wa Gabon aliyekuwa anaichezea Borussia Dortmund ya Ujerumani Pierre-Emerick Aubameyang, mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa Arsenal Oliver Giroud ameondoka nae.



Giroud ameondoka Arsenal na kwenda kujiunga na club ya Chelsea kwa ada ya uhamisho wa pound milioni 18 lakini Chelsea nao wamemtoa kwa mkopo mchezaji Batshuayi kwenda Borussia Dortmund ya Ujerumani.

Oliver Giroud ameondoka Arsenal na kujiunga na Chelsea baada ya kudumu ndani ya club ya Arsenal kwa miaka sita alipojiunga nayo 2012 akitokea Montpellier.



Manara baada ya Yanga kupata penati “Baadhi ya maamuzi ni kichefuchefu”

Chanzo: millardayo.com