Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aubameyang alivyoingia kwenye rekodi leo akiwa na Arsenal

2566 48D9B0B300000578 5348217 Image A 15 1517681644394 660x400

Sat, 3 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Club ya Arsenal leo iliikaribisha Everton katika uwanja wake wa Emirates kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu England, Arsenal wakiwa katika uwanja wao wa Emirates game hiyo waliitumia pia kama fursa ya kumtumia staa wao mpya raia wa Gabon Pierre Emerick Aubameyang.



Game ya Arsenal dhidi ya Everton imemalizika kwa Arsenal kupata ushindi wa magoli 5-1, magoli ya Arsenal yakifungwa na Aaroon Ramsey aliyefunga hat-trick dakika ya 6, 19, 74, Koscielny dakika ya 14 na Pierre Emerick Aubameyang dakika ya 37.



Goli la dakika ya 37 la Aubameyang dhidi ya Everton limemfanya staa huyo kuwa mchezaji wa sita wa Arsenal kufunga kwa mara ya kwanza katika game yake ya kwanza akiitumikia Arsenal katika EPL chini ya kocha Wenger, baada ya Freddie LjungbergEmmanuel AdebayorSamir NasriThomas Vermaelen na Alexandre Lacazette.

Matokeo ya game za EPL zilizochezwa leo February 3 2018.

Msimamo wa EPL ulivyo kwa sasa.

Manara baada ya Yanga kupata penati “Baadhi ya maamuzi ni kichefuchefu”

Chanzo: millardayo.com