Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arsenal Fan TV wamekutana na Ommy Dimpoz UK

2264 Screen Shot 2018 01 30 At 4.43.03 PM 660x400.png

Wed, 31 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Msanii wa Bongofleva Ommy Dimpoz ni moja kati ya watanzania wanaopenda kuishangilia club ya Man United ya England lakini account rasmi ya instagram ya Arsenal Fan TV ya England imekutana na Ommy Dimpoz.



Arsenal Fan TV kupitia ukursa wao wa instagram baada ya kukutana na Ommy Dimpoz Heathrow Airport jijini London na baada ya kukutana nae, mtangazaji wa Arsenal Fan TV wakampost na kuandika kuwa walikuwa wanambadili kutoka kuishabikia Man United na kuwa Arsenal.

“Tumefurahihi kukutana na Ommy Dimpoz katika uwanja wa ndege wa Heathrow na tunajaribu kumbadilisha kutoka kuwa shabiki wa Man United na kuwa wa Arsenal” 

VIDEO: Magoli ya John Bocco na Okwi yalivyoiua Majimaji FC leo

Chanzo: millardayo.com