Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anthony Joshua ajigamba kuelekea pambano lake dhidi ya Parker

5280 Skysports Anthony Joshua Boxing 4263251 TZW

Sun, 25 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Bondia wa uzito wa juu duniani raia wa Uingereza, Anthony Joshua amesema kuwa anaamini yeye ndiye anayeongoza kwa wanamasumbwi wenyeuzito wake.



Joshua anaamini kuwa ndiye bondia namba moja wa uzito wajuu duniani na uwepo wake unafanya kuwepo na uhai kwa watu wa kariba yake.

Sina hofu na wale wanao nizunguka,nina uhakika na kazi yangu na wote ninawakaribisha na hicho ndiyo kitu pekee ninachoweza kusema.

Bingwa huyo wa dunia mwenye umri wa miaka 28, hajapoteza pambano hata moja mpaka sasa anatarajia kuingia ulingoni Jumamosi ijayo Machi 31 kuzipiga na Joseph Parker katika ukumbi wa Principality huko Cardiff.
Chanzo: bongo5.com