Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alichokiandika Jerson Tegete baada ya Nyosso kumpiga shabiki

1829 Tegete Maximo

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

January 22 2018 beki wa Kagera Sugar Juma Nyossoamejikuta akiingia matatizoni baada ya kujikuta akikamatwa na Polisi kwa madai ya kumpiga shabiki na kuzimia baada ya mchezo wao dhidi ya Simba uliyomalizika kwa Simbakupata ushindi wa magoli 2-0.

Baada ya kila mmoja kupokea kwa mtazamo tofauti kitendo cha Juma Nyosso kudaiwa kumpiga shabiki hadi kupoteza fahamu, staa wa zamani wa Yanga Jerson Tegete ameandika ujumbe huu katika instagram account yake kuhusina na ishu hiyo “Tusilione kwa Juma Nyosso tu, mashabiki pia watambue mipaka yao”



VIDEO: Juma Nyosso alivyokamatwa na polisi baada ya game ya Kagera vs Simba

Chanzo: millardayo.com