Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ahmed Ally afunguka kwa mara ya kwanza tangu alambe cheo Simba (+Video)

Video Archive
Mon, 3 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ahmed Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba SC amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kupata wadhifa huo.

Ahmed ameonesha furaha yake na tayari yuko njiani kuelekea Zanzibar kuungana na kikosi kwenye Mapinduzi Cup.

Msikilize kwa makini hapa akieleza furaha yake;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live