Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Adam Adam wa JKT asajiliwa Al Wahda (+picha)

Screenshot 2021 06 04 At 10.19.04 660x400.png Adam Adam wa JKT asajiliwa Al Wahda (+picha)

Fri, 4 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Klabu ya Al Wahda ya nchini Libya, imemsajili mshambuliaji wa Tanzania, Adam Adam, mwenye umri wa miaka 24.

Kabla ya usajili huo, Adam Adam alikuwa akiitumikia klabu ya JKT Tanzania na hadi sasa ameifungia timu hiyo mabao Saba katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/2021 na magoli 13 msimu uliopita.

Al Wahda inashiriki Ligi Kuu ya nchini Libya.

“YUSUPH MANJI TUMEMKAMATA” MKURUGENZI TAKUKURU

Chanzo: millardayo.com