Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Acheni ugomvi tunauwana sisi wenyewe

Congo Dr Sz Acheni ugomvi tunauwana sisi wenyewe

Wed, 7 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kuzidiwa na hisia baada ya kushindwa kwenye mchuano wa Olimpiki, bondia wa DR Congo???????? Marcelat Sakobi alifanya ishara ya nguvu kwa kuweka mkono wake mbele ya mdomo wake na kunyoosha vidole viwili kwenye ubavu wa kichwa chake, na kuamsha ufahamu kuhusu mauwaji DR Congo.

Licha ya kuzidiwa na hisia baada ya kushindwa kwenye mchuano wa Olimpiki, bondia wa DR Congo???????? Marcelat Sakobi alifanya ishara ya nguvu kwa kuweka mkono wake mbele ya mdomo wake na kunyoosha vidole viwili kwenye ubavu wa kichwa chake, na kuamsha ufahamu kuhusu mauwaji DR Congo. Ishara hiyo ni kuashiria kuwa watu wanapigwa risasi nchini humo na kuuwawa lakini hakuna anayezungumza kukomesha maafa hayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live