Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ASEC Mimosa Kutua Dar Leo, Kuwavaa Simba

ASEC Mimosa Dar ASEC Mimosa Kutua Dar Leo, Kuwavaa Simba

Thu, 10 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

ASEC Mimosa ambao Jumapili Februari 13, 2022 watacheza na Simba SC mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, wanatarajiwa kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Februari 10, 2022 majira ya saa 6:25 mchana.

ASEC Mimosa ambao Jumapili Februari 13, 2022 watacheza na Simba SC mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, wanatarajiwa kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Februari 10, 2022 majira ya saa 6:25 mchana. Kwa mujibu wa taarifa yao, jana usiku walilala Adis Ababa nchini Ethiopia ambapo leo majira ya saa 3:45 asubuhi wataanza safari ya kuja Tanzania na kufika saa 6:25 mchana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live