Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ALICHOKISEMA MANARA KUHUSU YANGA KUACHANA NA BAADHI YA WACHEZAJI WAKE

MANARA 3?fit=800%2C445 ALICHOKISEMA MANARA KUHUSU YANGA KUACHANA NA BAADHI YA WACHEZAJI WAKE

Tue, 18 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Ofisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara amesema kuwa kwasasa Simba imemaliza usajili na wanachofanya kwasasa ni mazoezi pekee wakiwa na kocha wao Sven.

“Tupo mazoezini na Kocha wetu Sven Simba tumeshamaliza usajili na hakuna mchezaji yoyote wa first eleven aliyeondoka, Chonde Chonde, msije kuwasingizia tff au bodi ya ligi,wenzenu tunajiandaa”

“Msisahau game yetu ni October 18, sio mbali hata kdogo Msije kuwatafuta muhali kina karia,,,ohooooo!! Hamkawii kusema TFF Simba, Spika Simba”

“Simba sio watu ndugu zangu,wanaweza kuwapiga kumi nawajua walivyokuwa hawana huruma ” amesema Manara

Chanzo: zanzibar24.co.tz