Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Watakaozuia majambazi ndio wapandishwe vyeo" Rais Samia akitoa maagizo (+video)

Video Archive
Wed, 19 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa vigezo vitakavyotumika kuteua au kutengua Makamanda wa Mikoa ni udhibiti wa vitendo vya ujambazi ikiwemo wa kutumia silaha

Akizungumza kutokea Kurasini, Dar amesema “IGP umeniletea majina kadhaa kwa ajili ya zile Kamisheni mbili, hiki kitakuwa kimoja kati ya vigezo nitakavyotumia”

Kuhusu matukio ya udhalilishaji wa kijinsia, Rais Samia ametoa wito kwa Jamii kuweka mkazo zaidi kwenye suala la malezi kwani vitendo hivyo hutokea ndani ya Familia.

Chanzo: millardayo.com