Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vilabu vya EPL vyatahadharishwa kuhusu wadukuzi

Hacker In Mask And Hood Account Hacking 2021 08 26 16 25 33 Utc Scaled 1 1140x640 Vilabu vya EPL vyatahadharishwa kuhusu wadukuzi

Mon, 21 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imebainika kuwa Klabu za England zinalengwa na wadukuzi, ambao wanatuma ankara za ulaghai kuhusu uhamisho wa wachezaji wa nje ya Nchi hiyo.

Suala hilo ni zito, Chama cha Soka Cha England (FA) kimetuma onyo kwa Klabu na kuzitaka kupitia barua pepe zao za usalama na kuzitaka idara zao za fedha kuripoti maombi yoyote wanayoamini ni ya uwongo kwao wenyewe na kwa mamlaka husika.

FA imebainisha kuwa kuna ongezeko la ripoti za barua pepe zilizoigwa au zilizodukuliwa...hasa zinazohusiana na malipo kwa klabu za nje.

Vilabu vimeambiwa kuthibitisha maelezo ya akaunti kabla ya kuagiza FA kufanya malipo na kuangalia mfumo wa FIFA ili kuhakikisha taarifa ni halali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: