Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Rais Samia na Museveni Watia Saini Mkataba wa Bomba la Mafuta

Video Archive
Thu, 20 May 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

RAIS wa Jamhuri ya Uganda,  Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 amefanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

RAIS wa Jamhuri ya Uganda,  Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 amefanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Rais Museveni na  Rais Samia ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni za uwekezaji katika mradi huo (Host Government Agreement) Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: globalpublishers.co.tz