Menu ›
Habari
Wed, 19 May 2021
Chanzo: globalpublishers.co.tz
Uchambuzi Wa Salama: Simba Vs Kaizer Chiefs, Goli La Yanga -Video May 19, 2021 by Global Publishers
Global TV imepiga stroy na mchambuzi wa kike wa Soka, Salama Ngale, kuelekea mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya, Simba vs Kaizer Chiefs, ambao utapigwa Mei 22 katika Uwanja wa Mkapa.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download TANZANIAWEB APP: ⚫️ ANDROID:https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tanzaniaweb.mobile.app
Columnist: globalpublishers.co.tz