Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Tusibweteke na kulewa na mafuta na gesi tukasahau sekta nyingine" Museveni (+video)

Video Archive
Thu, 20 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Uganda, Yoweri Museven amewaasa Watanzania na Waganda kutobweteka na mradi wa bomba la mafuta ghafi unaotekelezwa katika nchi hiyo na Tanzania, akitaka fedha zitakazopatikana kutumika kuimarisha sekta nyingine.

“Ninapenda kuwasihi wananchi wa Uganda na Tanzania wasibweteke na kulewa na mafuta na gesi wakasahau sekta nyingine kama vile kilimo cha kibiashara na viwanda  zitasaidiwa, fedha za mafuta huwa zina ukomo wake lakini kilimo kinaendelea hakina ukomo.” Museveni

“Pia utalii ili mradi mazingira yametunzwa kwa hiyo tutatumia rasilimali hizi zenye ukomo ili kuendeleza rasilimali endelevu,”  Museveni.

Chanzo: millardayo.com