Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama Watu mbali mbali wamejitokeza Kairuki kujipatia Chanjo Uviko-19 (Video+)

Video Archive
Tue, 3 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Ripoti za utoaji wa huduma ya Chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa (Covid-19) Uviko-19, sasa leo Agosti 3, 2021 Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni imeanza kutoa huduma hiyo kwa Wananchi  wake.

Ayo TV & Millardayo.com ilimpata Dkt.Mukiza Ngemera ambae amezungumzia wingi wa watu waliojitokeza siku ya leo kupata chanjo hiyo.

“Tunamshukuru Mungu zoezi limeendelea vizuri tangu siku ya leo kama siku ya kwanza ambapo tumeanza zoezi hili la uchanjaji chanjo dhidi ya virusi vya Corona kiukweli muamko umekuwa mkubwa sana na leo tumeanza saa mbili asubuhi na ni zoezi endelevu”-Dkt Mukiza Ngemera

Chanzo: millardayo.com