Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Spika aibua shangwe Bungeni baada ya kuzungumzia mechi ya Simba SC na Kaizer (+video)

Video Archive
Mon, 24 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Leo May 24, 2021 Kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Spika Ndugai “Juzi uwanja wa mkapa kulikuwa na mambo makubwa, kama bunge lazima tupongeze kwa timu yetu ya Simba SC kututoa kimasomaso, kuweza kufika robo fainali ya kombe la mabingwa wa mpira wa miguu Afrika nzima si haba kwa hiyo na wale rafiki zetu wajitahidi, waige”.

Chanzo: millardayo.com