Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Sitaki ujinga, wahuni mnajua sitaki uanaharamu" IGP sirro awa mbogo (+video)

Video Archive
Sat, 12 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

IGP Simon Sirro akizungumza na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kelema wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Arusha alilazimika kusimama na kuzungumza na wananchi hao kufuatia kitendo chao cha kufunga barabara kuu ya Dodoma, Babati kwa kuweka mawe barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine.

Chanzo: millardayo.com