Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simu ya mwisho Mama Samia kupigiwa na JPM (+video)

Video Archive
Mon, 22 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais Samia amesema Hayati Dk Magufuli alikuwa ni mtu mwenye bahati ya kupokea sifa zake angali yu hai.

Rais Samia amesema Hayati Dk Magufuli alikuwa ni mtu mwenye bahati ya kupokea sifa zake angali yu hai. Rais Samia alisema kuwa, “Hili ni jambo la nadra kwa mwanadamu, ila inatupa faraja kuwa ameondoka akiwa anajua ni kwa namna gani Watanzania tulithamini na kuenzi mchango wake.

Chanzo: millardayo.com