Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia ampongeza William Ruto

Samia Ruto.jpeg Rais Samia na Ruto

Tue, 16 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais mteule wa Kenya, William Ruto kwa kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi huo na wananchi wa Kenya kwa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais mteule wa Kenya, William Ruto kwa kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi huo na wananchi wa Kenya kwa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu. "Ninapenda kuwapongeza kwa dhati wananchi wa Kenya kwa kushiriki uchaguzi wao mkuu kwa amani na utulivu, ambapo matokeo yake ni Dkt William Ruto kutangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya.Tanzania itaendeleza undugu na ushirikiano wa Kihistoria na Kenya uliodumu miaka na miaka," amesema Rais Samia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: