Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia aigeukia Wizara ishu ya bando "Lisijirudie" (+video)

Video Archive
Tue, 6 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kushughulikia sakata la kupanda kwa gharama za vifurushi vya simu lililoibuka kuanzia Aprili 2, 2021.

Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kushughulikia sakata la kupanda kwa gharama za vifurushi vya simu lililoibuka kuanzia Aprili 2, 2021.  “Kulizuka rapsha rapsha juzi hapa kuhusu masuala ya mabando wananchi wakawa juu mkalituliza. Kalifanyieni kazi lisizuke namna ile, mpo na mnaangalia. Hawa watu wanakuja na mambo yao wananchi wanashtuka ndiyo na nyie mnashtuka, hapana,” Rais Samia.

Chanzo: millardayo.com