Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia Atoa Msimamo Kuhusu Katiba Mpya - Video

Video Archive
Fri, 2 Apr 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais Samia Atoa Msimamo Kuhusu Katiba Mpya – Video April 2, 2021 by Global Publishers



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ni kama amejisahau mara nyingi kwa kusema linaoendelea ni Bunge la Katiba badala ya kusema ni Bunge la Bajeti.

Akajihoji mwenyewe, “Hivi nina maradhi gani na Katiba?” Akatoa majibu kwamba labda ni kwa sababu nimepigiwa kelele sana kuhusu msukumo wa Katiba Mpya…..” Akawapa majibu “….lakini wasahau kidogo…”

Chanzo: globalpublishers.co.tz