Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia Aongoza Zoezi La Kuagwa Kwa Teddy Mapunda (Picha +Video)

Video Archive
Mon, 10 May 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais Samia Aongoza Zoezi La Kuagwa Kwa Teddy Mapunda (Picha +Video) May 9, 2021 by Global Publishers



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Marehemu Teddy Mapunda katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 09 Mei, 2021.



Rais Samia akisaini Kitabu cha maombelezo kabla ya kuaga mwili wa Marehemu Teddy Mapunda katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.



Rais akitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Marehemu Teddy Mapunda.

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Mei 09 ameshiriki katika ibada kuuaga mwili wa aliyekuwa mmiliki wa kampuni ya uratibu na matukio, Teddy Mapunda.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8​ ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Chanzo: globalpublishers.co.tz