Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Andengenye atoa onyo "akuna likizo ya sheria"(+video)

Video Archive
Fri, 23 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Serikali ya Mkoa wa Kigoma imeeleza kukemea vikali baadhi ya Wanasiasa ambao wamekuwa wakitumia vigezo vya ukimbizi na uhamiaji haramu kuwashawishi wananchi kuichukia Serikali.

Serikali ya Mkoa wa Kigoma imeeleza kukemea vikali baadhi ya Wanasiasa ambao wamekuwa wakitumia vigezo vya ukimbizi na uhamiaji haramu kuwashawishi wananchi kuichukia Serikali. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika mkutano na Waandishi wa habari ambapo amesisitiza kuwa Serikali haitosita kuwachukilia hatua kwa vitendo au maneno ya uchochezi watakayoendelea kutoa dhidi ya Serikali.

Chanzo: millardayo.com