Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Plastiki marufuku, nataka nijue wamekwama wapi" Waziri Jafo (+video)

Video Archive
Thu, 15 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo amewaita wawekezaji wote nchini Aprili 17, kwa ya kuwaisililiza wamekwama wapi lengo likiwa kuboresha utendaji kazi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo amewaita wawekezaji wote nchini Aprili 17, kwa ya kuwaisililiza wamekwama wapi lengo likiwa kuboresha utendaji kazi. Waziri Jafo ameyasema hayo leo katika ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam ambapo pia amepiga marufuku matumizi ya mifuko ya Plastiki katika maeneo mbalimbali ikiwemo masokoni.

Chanzo: millardayo.com