Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Naibu waziri apewa siku 30 aondoke kwenye hifadhi Ngorongoro

Video Archive
Mon, 19 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Naibu waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Uwekezaji ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Ngorongoro, amesema amepewa notisi ya siku 30 pamoja na wananchi wengine 45 yakuondoka eneo alilojenga kwenye jimbo lake kwa madai yakujenga kwenye hifadhi ya Ngorongoro.

Ole Nasha amesema wananchi wako tayari kufanya mjadala ambao utakaowawezesha uhifadhi kuwezekana pamoja na shughuli za maendeleo.

“Tuingie kwenye mjadala tuweze kujadiliana na wadau wengine na serikali ili tuweze kupata suluhu,kwa mfano mimi ninapozungumza hapa mimi mbunge nina notisi yakuvunjiwa nyumba kwamba naishi kwenye hifadhi”

Chanzo: millardayo.com