Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwili wa RC mstaafu Maganga ulivyotua kijeshi DSM (+video)

Video Archive
Mon, 25 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwili wa Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga (RC Mstaafu wa Kigoma), tayari umesafirishwa na Ndege ya Jeshi kutoka Tabora na kuelekea Dar es salaam kwa ajili ya kuagwa na kisha utasafirishwa tena kwenda Morogoro kwa ajili ya Mazishi.

Mwili wa Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga (RC Mstaafu wa Kigoma), tayari umesafirishwa na Ndege ya Jeshi kutoka Tabora na kuelekea Dar es salaam kwa ajili ya kuagwa na kisha utasafirishwa tena kwenda Morogoro kwa ajili ya Mazishi. Maganga alifariki juzi saa tatu usiku katika Hospitali ya Milambo, Tabora na kwa mujibu wa RC Tabora Dr. Sengati chanzo cha kifo chake ni Presha na Kisukari ambacho kilipelekea moyo wake kufeli.

Chanzo: millardayo.com