Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwekezaji aingia 18 za Gaguti, angalia walivyojibizana (+video)

Video Archive
Mon, 15 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amemaliza ziara yake Mkoani humo kwa kutembelea Wilaya ya Ngara na kufika eneo la Rusumo lenye mgogoro baina ya Mwekezaji Athuman Makoye na wananchi kwa madai kuwa mwekezaji huyo anawazuia kuingiza mifugo katika eneo la kijiji.

Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amemaliza ziara yake Mkoani humo kwa kutembelea Wilaya ya Ngara na kufika eneo la Rusumo lenye mgogoro baina ya Mwekezaji Athuman Makoye na wananchi kwa madai kuwa mwekezaji huyo anawazuia kuingiza mifugo katika eneo la kijiji. Baada ya majibizano yaliyodumu kwa muda mfupi Mkuu huyo wa Mkoa ameagiza mwekezaji kuwekwa chini ya ulinzi huku akitoa maagizo juu ya ardhi hiyo na kusema kuwa hakuna mtu yeyote anayeruhusiwi kuweka uzio kwenye eneo la kijiji.

Chanzo: millardayo.com