Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanajeshi feki alivyonaswa na viroba vya bangi, Kamanda asimulia (+video)

Video Archive
Thu, 12 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Mfanyabiashara Hussein Sadick Juma mkazi wa Kimara temboni jijini DSM anashikiliwa na jeshila pilisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya kusafirisha Dawa ya kulevya aina ya bangi viroba 15 vyenye uzito wa Kilogramu 237 huku akiwa amevalia nguo zinazofanana na za Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Wilbroad Mutafungwa amesema kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa akisafirisha dawa hizo kwa kutumia gari binafsi aina ya Prado yenye namba za usajili T. 168 BWB huku akisindikizwa na Teresphori Hamisi (40) mkazi wa mgeta wialayani mvomero.

BODYGUARD WA MAGUFULI AINGIA BUNGENI KWA MBWEMBWE, WABUNGE WAMSHANGILIA, UJUMBE MZITO

Chanzo: millardayo.com