Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtia nia Urais ahaidi kuhamasisha kilimo cha bangi

Video Archive
Sun, 12 Jul 2020 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtaalam wa Tiba Mbadala kutoka wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Joshua Lawrence amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo na kuahidi kuhamashisha kilimo cha bangi ili kitumike kama chakula cha kuku kwa lengo la kuongeza uzalishaji.

Baada ya kuchukua fomu hiyo, Lawrence ameahidi kuhamasisha kilimo cha Bangi ili kitumike kama chakula cha kuku

Katibu wa Chama hicho Mkoa wa Mbeya, Geofrey Sanga, amesema kuwa chama kimetoa baraka kwa Lawrence kugombea nafasi hiyo kwa kuwa wanaishi kwenye misingi ya haki na demokrasia na kuwahamisha wengine wenye nia ya kugombea kutumia fursa hiyo popote walipo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live