Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkurugenzi aliyenusurika kifo anena kilichotokea (video+)

Video Archive
Tue, 7 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkurugenzi mtendaji wa halmshauri ya Wilaya ya Malinyi Mkoa Morogoro Johanfaith Kataraiya na dereva wake Ramadhan Msangi wamenusurika kifo kwenye ajali baada ya gari walilopanda kupinduka mara mbili baada ya tairi ya mbele upande wa kushoto kupasuka.“Namshukuru Mungu nilipata ajali jana saa kumi na mbili jioni lakini naendelea vizuri, nawashukuru viongozi wote pamoja na wauguzi wote”- Mkurugenzi Johanfaith

Chanzo: millardayo.com