Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mke wa jamaa aliekatwa masikio amtetea Mume wake "nimefunga nae ndoa" (+video)

Video Archive
Tue, 16 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Wiki mbili baada ya Mwanaume aitwae Ibrahim Fadhili wa Magugu Mkoani Manyara kukiri kukatwa masikio yake kwa madai ya kukutwa na Mke wa Mtu kichochoroni, Mkewe aitwae Hidaya amejitokeza na kusema Mume wake ni muwazi na haamini kama ni kweli alikua na uhusiano wa kimapenzi na Mke huyo wa Mtu kwani anawafahamu wote na hajawahi kuhisi chochote kati yao.

Wiki mbili baada ya Mwanaume aitwae Ibrahim Fadhili wa Magugu Mkoani Manyara kukiri kukatwa masikio yake kwa madai ya kukutwa na Mke wa Mtu kichochoroni, Mkewe aitwae Hidaya amejitokeza na kusema Mume wake ni muwazi na haamini kama ni kweli alikua na uhusiano wa kimapenzi na Mke huyo wa Mtu kwani anawafahamu wote na hajawahi kuhisi chochote kati yao. “Nimekaa na Mume wangu kama miaka miwili, huyu Binti mimi namfahamu sababu tumetoka kijiji kimoja ila hatuna undugu, tulikua majirani kijijini ndio maana mpaka ukaribu ukawepo hapa anakuja kwangu anachota maji, mboga tunasaidiana” – Hidaya

Chanzo: millardayo.com