Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mdogo wa Jimmson asimulia mapya mauaji ya Kaka yake

Video Archive
Mon, 24 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwili wa Jimson Kibiki, aliyefariki May 20, 2021 kwa kupigwa risasi akiwa anatoka benki katika maeneo ya Mbezi Beach Dar es salaam, umeagwa na kuzikwa leo May 23, 2021.

Mwili wa Jimson Kibiki, aliyefariki May 20, 2021 kwa kupigwa risasi akiwa anatoka benki katika maeneo ya Mbezi Beach Dar es salaam, umeagwa na kuzikwa leo May 23, 2021. Mdogo wa Marehemu aitwaye Collins Charles Kibiki ameelezea utaratibu wa mazishi na kusimulia ilivyokuwa siku ya tukio———“alipigwa risasi moja ikatokea upande mwingine, alipata majeraha kwenye ini”.

Chanzo: millardayo.com