Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbunge Kunambi aanza kazi Jimboni kwake "lazima tuanze Serikali itatukuta" (+video)

Video Archive
Tue, 5 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Mbunge wa Jimbo la Mlimba wilayani Mlimba, Morogoro, Godwin Kunambi amefanya ziara yake ya kwanza katika kijiji cha Lugala kata ya Uchindile ambapo amezungumza na wananchi wa kata hiyo na kuchangia mifuko 50 ya saruji yenye thamani ya Sh Milioni Moja ili kusaidia ujenzi wa Zahanati ya kijiji hiko.

Mbunge wa Jimbo la Mlimba wilayani Mlimba, Morogoro, Godwin Kunambi amefanya ziara yake ya kwanza katika kijiji cha Lugala kata ya Uchindile ambapo amezungumza na wananchi wa kata hiyo na kuchangia mifuko 50 ya saruji yenye thamani ya Sh Milioni Moja ili kusaidia ujenzi wa Zahanati ya kijiji hiko. Mbunge Kunambi pia ameahidi hadi kufikia Januari 15 mwaka 2021 ujenzi wa Kituo cha Afya kwenye kata hiyo utakua umeanza.

Chanzo: millardayo.com