Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama mjamzito wa miaka 36, kazi yake bodaboda "ujauzito sio wa kwanza nina watoto sita" (+video)

Video Archive
Tue, 17 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

AyoTV na millardayo.com inakukutanisha na mwanamke mjamzito wa miaka 36 ambae kazi yake ni kubeba abiria pamoja na mizigo kwa bodaboda licha ya kukiri kuwa yupo mbioni kujifungua mapema, kuna mengi ameyasema kwenye haya mahojiano bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

Chanzo: millardayo.com