Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama Samia afunguka msisikilize maneno ya kutoka nje (+video)

Video Archive
Tue, 16 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa Handeni, Mkoani Tanga amewahakikishia Wananchi kuwa Tanzania ipo salama akisema ni kawaida kwa Mwanadamu kukaguliwakaguliwa na mafua, homa n.k.

Amesema huu ni wakati muhimu kwa Watanzania kushikamana na vilevile kujenga Umoja akisisitiza sio wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje

Ameongeza, “Watu wote shughulikeni na mambo yenu, jengeni Taifa, tujenge Umoja na Mshikamano wetu ili Tanzania iwe Taifa imara. Na ndicho kinachotuchongea, uimara wa Taifa letu unaleta maneno mengi”.

Chanzo: millardayo.com