Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Malkia wa Nguvu alietoka uswahili hadi kuwa Kamanda wa Polisi

Video Archive
Mon, 15 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Nakukutanisha na Safia Jongo mzaliwa wa Chamazi Dar Es Salaam ambaye ni kamishna msaidizi wa Polisi na sasa anatumika katika nafasi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ACP Safia Jongo amewahi kuchaguliwa Umoja wa Mataifa kuhudumu nchini Sudan na yupo kwenye list ya wananwake wanaotegemewa kuwa Viongozi wakubwa duniani.

Nakukutanisha na Safia Jongo mzaliwa wa Chamazi Dar Es Salaam ambaye ni kamishna msaidizi wa Polisi na sasa anatumika katika nafasi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ACP Safia Jongo amewahi kuchaguliwa Umoja wa Mataifa kuhudumu nchini Sudan na yupo kwenye list ya wananwake wanaotegemewa kuwa Viongozi wakubwa duniani. “Mwanamke akiamua hashindwi hata kama umetoka umetoka kwenye background ya namna gani mimi nimezaliwa na kukulia uswahilini hata maisha yaliyokuwa yananizunguka sio haya lakini ni kati wanawake walipitia magumu ya ndoa mimi sasahivi nina mume wa pili na watu hawakujua kwasababu ukiwa mpelelezi unayejituma hulali”ACP. SAFIA JONGO

Chanzo: millardayo.com