Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magufuli atoa la moyoni "Gambo sijamfukuza, ningekuwa simpendi ningemkata" (+video)

Video Archive
Fri, 23 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

“Nawashangaa wanaosimama kwenye majukwaa wanasema Gambo simpendi, ningekuwa simpendi ningemrudisha jina lake hapa kuja kugombea?, Arusha inapendeza ina mpaka taa za Barabarani, aliyenichokonoa ni Gambo, nimemleta hapa mumkatae jamani kweli?, nataka Arusha iwe kama California”-JPM

“Gambo amewatetea mambo mengi hata Barabara ya KM 14 ya njia 4, Barabara ambayo hakuna Mtu aliyetegemea itajengwa Arusha kwa Watu ambao walininyima kura, ingeweza hata tukaipeleka Mkoa mwingine, hata ile Diversion ya Barabara hii tumemwaga zaidi ya Bil 164”- JPM

“Gambo sikumfukuza U-RC, wala aliyekuwa DC hapa, wasingetia nia wangebaki, mfano DC wa hapa alienda kugombea Ubunge Babati, sasa usingeweza kuwa RC au DC wakati unaenda kugombea Ubunge, CCM inapenda haki, Viongozi wote walioenda kugombea nilitengua uteuzi wao”-JPM

Chanzo: millardayo.com