Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Laini ya Simu ya Mke wa Sabaya Yazua Jambo Mahakamani

Sabaya Na Mchumba Ole Sabaya Mahakamani

Fri, 4 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

#HABARI ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amekiri mahakamani kwamba alitumia kitambulisho chake cha Taifa kusajili laini ya simu na kumpatia mke wake Jesca Thomas.

#HABARI ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amekiri mahakamani kwamba alitumia kitambulisho chake cha Taifa kusajili laini ya simu na kumpatia mke wake Jesca Thomas. Sabaya ambaye ni shahidi wa pili kwa mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya uhujumu uchumi namba 27, na wenzake sita, alikiri leo mahakamani huko, mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, katika kesi ya uhujumu uchumi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: