Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Profesa Mussa Assad:"Mimi niliondolewa kazini kinyume cha Katiba, sikumaliza muda"

Video Archive
Wed, 6 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekua Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali Prof. Jaffar Mussa Assad amesema kuwa yeye hakumaliza muda wake kazini kama inavyoelezwa, bali aliondolewa kazini kinyume cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

"Nimetambulishwa kama CAG niliyemaliza muda wangu. Hapa unakuja umuhimu wa kuheshimu Katiba. Katiba inasema CAG atastaafu akifikisha miaka 60, au kwa ugonjwa, utovu wa nidhamu, maadili". - Prof Jafari Mussa Assad

"Sipendi kuitwa CAG niliyemaliza muda wangu kwakuwa nilitolewa Ofisini kinyume cha Katiba. Jambo hili linaniudhi sana kwakuwa hatukusimamia Katiba vizuri". - Prof Mussa Assad.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live