Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kilichosababisha moto Mlima Kilimanjaro "wanapasha chakula ukashika nyasi" (+video)

Video Archive
Tue, 13 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Kamishina Mwandamizi MsaidiI Mawasiliano (TANAPA) Pascal Shelutete amebainisha chanzo cha kuibuka kwa moto katika eneo la hifadhi ya Mlima Kilimanjaro kuwa umetokana na moto wa kupasha chakula cha wageni.

Kamishina Mwandamizi MsaidiI Mawasiliano (TANAPA) Pascal Shelutete amebainisha chanzo cha kuibuka kwa moto katika eneo la hifadhi ya Mlima Kilimanjaro kuwa umetokana na moto wa kupasha chakula cha wageni. “Kitendo cha kupasha moto chakula cha wageni katika kituo cha kupumzika wageni cha Whona ndicho kinasadikiwa kuwa chanzo cha moto huu” Pascal Shelutete

Chanzo: millardayo.com