Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hili ndilo darasa alilosoma Dkt. Mpango Buhigwe Kigoma (+video)

Video Archive
Wed, 31 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Hapa ni Shule ya Msingi Muyama katika Kijiji cha Muyama Wilayani Buhigwe Kigoma aliposomea Dkt Philip Mpango, Makamu wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitatu kuanzia 1968 hadi 1970 na kuhitimu darasa la saba, Mpango alihamishiwa katika Shule hii baada ya kusoma Shule ya Msingi Kipalapala kisha akahamia Kasumo na kumalizia hapa.

Stella Shayo ni Mwalimu Mkuu wa Shule hii, ameeleza historia kidogo ya Dkt Mpango kuhusu kusoma katika Shule hiyo na kuonesha darasa alilowahi kusomea kipindi akiwa darasa la saba.

“Shule hii imeanza mwaka 1954, hili darasa ndilo aliposomea hadi darasa la saba, baada ya kuwa Kiongozi aliwahi kufika hapa amejenga madarasa mawili na ofisi za Walimu, tunapambana sana kwa ajili ya kumuenzi iwe Shule ya mfano” Mwalimu Mkuu

Chanzo: millardayo.com