Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fisi aua mtoto wa miaka mitatu akicheza (+video)

Video Archive
Mon, 10 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutoka Wilaya ya Magu Mwanza, mtoto Daud Mussa miaka 3, ameuawa kwa kuliwa na fisi wakati akicheza nje kidogo ya nyumbani kwao na muda huo Mama yake alikuwa ndani akipika, Kamanda wa Polisi Mwanza Jumanne Muliro amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Chanzo: millardayo.com