Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodaboda anayeendesha Toyo kwa mguu mmoja "walioniumiza wamefariki" (+video)

Video Archive
Mon, 15 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Frank Witson ni kijana ambaye alikatwa mguu wake mmoja akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kurushiwa jiwe akiwa mtoni lakini hiyo haikumzuia kufanya shughuli zake ambapo kwa sasa anaendesha pikipiki katika eneo la Sakina Arusha ambapo fedha anayoipata anatumia kuendesha familia.

Frank Witson ni kijana ambaye alikatwa mguu wake mmoja akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kurushiwa jiwe akiwa mtoni lakini hiyo haikumzuia kufanya shughuli zake ambapo kwa sasa anaendesha pikipiki katika eneo la Sakina Arusha ambapo fedha anayoipata anatumia kuendesha familia. Frank anasema baada ya kuumizwa na wenzake wawili walikubaliana kuondoa kesi iliyokuwa Mahakamani lakini baadaye watuhumiwa waligeuka na kusema hawakuhusika kumuumiza ambapo baada ya miaka isiyopungua miwili wote walifariki kwa nyakati tofauti.

Chanzo: millardayo.com