Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bilionea aanza kutanua mgodi, atoa ajira 150 "nataka niongeze uzalishaji wa madini"; (+video)

Video Archive
Mon, 1 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Mbunge wa Jimbo la Ulanga na mfanyabiashara ya madini Mhe Salim Alaudin Hasham ameanza mkakati wa kutanua eneo lake la machimbo lililopo mahenge ili kuongeza uzalishaji na kutoa ajira kwa wingi kwa vijana.

Mbunge wa Jimbo la Ulanga na mfanyabiashara ya madini Mhe Salim Alaudin Hasham ameanza mkakati wa kutanua eneo lake la machimbo lililopo mahenge ili kuongeza uzalishaji na kutoa ajira kwa wingi kwa vijana. Almas amesema lengo lake ni kuongeza uzalishaji wa madini tofauti na awali na anategemea baada ya upanuzi huo kukamilika basi atakuwa na uwezo wa kupata madini kwa kila mwezi jambo litakaloongeza mzunguko wa biashara.

Chanzo: millardayo.com