Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Askari alivyomuokoa mtoto kwenye shimo la choo (+video)

Video Archive
Tue, 5 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja aliyemuokoa mtoto eneo la Murugwanza Wilayani Ngara kwenye shimo la choo mwezi Mei mwaka huu,amemuokoa mtoto mwingine leo Desemba 28-2020 huko Kata ya Kayanga Tarafa ya Bugene Wilayani Karagwe.

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja aliyemuokoa mtoto eneo la Murugwanza Wilayani Ngara kwenye shimo la choo mwezi Mei mwaka huu,amemuokoa mtoto mwingine leo Desemba 28-2020 huko Kata ya Kayanga Tarafa ya Bugene Wilayani Karagwe. Kwa mujibu wa Mkuu wa zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kagera, INSPEKTA SHABAN HAMIS DAWA amesema kuwa mtoto huyo aitwaye Anekius Evarist miaka 2 alimfata mama yake aliyeingia bafuni linalokaribiana na choo ila mtoto huyo aliingia chooni akidhani mama yeke naye yupo chooni.

Chanzo: millardayo.com