Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aliyezikwa na Pikipiki yake "alisema akifa azikwe nayo, Jeneza la Kioo" (video+)

Video Archive
Wed, 22 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Unaambiwa sio ajabu kusikia Mtu anasema akifa azikwe na kitu flani, hiyo ilitokea kwa Billy Standley wa Ohio Marekani ambae alipenda sana michezo ya kuendesha pikipiki na wakati wote alikuwa anawaambia Rafiki zake kuwa anatamani azikwe akiwa juu ya pikipiki yake aliyokuwa anaipenda sana.

Unaambiwa sio ajabu kusikia Mtu anasema akifa azikwe na kitu flani, hiyo ilitokea kwa Billy Standley wa Ohio Marekani ambae alipenda sana michezo ya kuendesha pikipiki na wakati wote alikuwa anawaambia Rafiki zake kuwa anatamani azikwe akiwa juu ya pikipiki yake aliyokuwa anaipenda sana. Billy ambaye alizaliwa Mwaka 1931 alifariki Mwaka 2014 ambapo Rafiki na Ndugu zake walitimiza ahadi kwa kumuweka juu ya pikipiki ndani ya jeneza lenye kioo na kila Mtu akawa anamuona.

Chanzo: millardayo.com